Electrical installation

 1. We Install,Maintain And Repair Electrical Control,Wiring And Lighting System
 2. Read Technical Diagram and Blueprint

Read More

Information Technology

 1. Computer Maintainace And Repair
 2. Network installation And troubleshooting
 3. Software installation And Upgrade

Read More

Tailoring and design

mwanafunzi akimaliza ataweza -

 1. kushona nguo zote za kike na kiume
 2. kukarabati na kurekebishaji mashine pale inapopata hitilifu

Read More

Motor vehicle And Mechanics

* Explaining Mechanical Problems and posible solution to clients

* Testing parts and system to ensure they work correctly

Read More →

MATUKIO

TEHAMA

Mwalimu boniface wa IT akiwaelekeza wanafunzi mifumo ya ndani ya kompyuta

UMEME

Wanafaunzi wa UMEME wakiwa darasani wakimfatilia mwalimu

USUSI

madam Modesta akiwafundisha jinsi y kusuka wanafunzi wake wa ususi

About

Chuo cha mtakatifu gaspar kilianzishwa mwaka 1988 na Padre Dominico Alteri wa shirika la wamisionari wa damu ya Azizi ya yesu aliyekuwa paroko mwaka huo akishirikiana na viongozi wa shirika la jimbo. Lengo la chuo lilikuwa kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana na kuwasaida wejitegemee. kutokana na michango mbalimbali kutoka shirikani na kwa wafadhili mbalimbali chuo kimekuwa kikipiga hatua kubwa ya maendeleo kila mwaka. fani ya Ushonaji ndio ilikuwa ya kwanza kabisa chuoni na badae ziliongezwa fani nyingine kama Useremala,Uungaji vyuma,Umeme na Computer

read more...>>

Kozi za mda mfupi

 • Hotel Management - 6 months
 • Catering(mapishi) - 2 months
 • Computer application - 3 months
 • driving - 1 months
 • Tailoring and design - 6 months
 • English course - 3 months
 • Electrical installation 3 - 6 months
 • Beuty & hair Dressing - 3 months