Elimu bora kwa maendeleo ya viwanda.
Chuo cha mtakatifu gaspar kilianzishwa mwaka 1988 na Padre Dominico Alteri wa shirika la wamisionari wa damu ya Azizi ya yesu aliyekuwa paroko mwaka huo akishirikiana na viongozi wa shirika la jimbo. Lengo la chuo lilikuwa kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana na kuwasaida wejitegemee. kutokana na michango mbalimbali kutoka shirikani na kwa wafadhili mbalimbali chuo kimekuwa kikipiga hatua kubwa ya maendeleo kila mwaka. fani ya Ushonaji ndio ilikuwa ya kwanza kabisa chuoni na badae ziliongezwa fani nyingine kama Useremala,Uungaji vyuma,Umeme na Computer
read more...>>